Petronio wa Die (alifariki Die, leo nchini Ufaransa, karne ya 5) alikuwa askofu wa mji huo, karibu na Vienne, aliyewahi kuwa mmonaki katika kisiwa cha Lérins[1][2].

Baada yake, jimbo liliongozwa na ndugu yake, Marselo wa Die.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 10 Januari[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.