Mharagwe
(Elekezwa kutoka Phaseolus vulgaris)
Mharagwe (Phaseolus vulgaris) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Miharagwe inayopanda juu
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mharagwe (pia: mharage) ni jina la mimea mbalimbali ya familia Fabaceae lakini mara nyingi sana Phaseolus vulgaris.
Mimea hii inatambaa au inapanda juu ya mimea mingine na matunda yake ni makaka marefu yaliyo na mbegu zinazoitwa maharagwe.
Licha ya mbegu hata makaka mabichi huliwa kama maharagwe-mboga.
Picha
hariri-
Ua
-
Makaka
-
Makaka mabichi
-
Makaka mabivu
-
Maharagwe kahawia
-
Maharagwe meupe
-
Maharagwe mekundu