Paa (Bovidae)

(Elekezwa kutoka Philantomba)
Paa
Nsya (Sylvicapra grimmia)
Nsya
(Sylvicapra grimmia)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Cephalophinae (Wanyama wanaofanana na paa)
J. E. Gray, 1871
Ngazi za chini

Jenasi 3, spishi 21:

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Paa (ing. duiker; huitwa pia: Nsya, Sylvicapra grimmia; Mindi, Cephalophus spadix; Funo, Cephalophus natalensis; na Chesi, Philantomba monticola) ni jina la kawaida kwa wanyama wadogo wa Afrika wanaofanana na swala na walio na pembe fupi. Huainishwa katika nususfamilia Cephalophinae ya familia Bovidae. Paa-chonge ni wanyama wengine katika familia Tragulidae.

Spishi

hariri
  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paa (Bovidae) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.