Paa (Bovidae)
(Elekezwa kutoka Sylvicapra)
Paa | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Nsya
(Sylvicapra grimmia) | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 3, spishi 21:
|
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Paa (ing. duiker; huitwa pia: Nsya, Sylvicapra grimmia; Mindi, Cephalophus spadix; Funo, Cephalophus natalensis; na Chesi, Philantomba monticola) ni jina la kawaida kwa wanyama wadogo wa Afrika wanaofanana na swala na walio na pembe fupi. Huainishwa katika nususfamilia Cephalophinae ya familia Bovidae. Paa-chonge ni wanyama wengine katika familia Tragulidae.
Spishi
hariri- Nusufamilia Cephalophinae
- Jenasi Cephalophus
- Cephalophus adersi, Paa Nunga (Ader's Duiker)
- Cephalophus brookei, Paa wa Brooke (Brooke's Duiker)
- Cephalophus callipygus, Funo wa Peters (Peters's Duiker)
- Cephalophus dorsalis, Paa Mgongo-mweusi (Bay Duiker)
- Cephalophus harveyi, Funo wa Harvey (Harvey's Duiker)
- Cephalophus jentinki, Paa wa Jentink (Jentink's Duiker)
- Cephalophus leucogaster, Paa Tumbo-jeupe (White-bellied Duiker)
- Cephalophus natalensis, Funo (Red Forest Duiker)
- Cephalophus niger, Paa Mweusi (Black Duiker)
- Cephalophus nigrifrons, Paa Paji-jeusi (Black-fronted Duiker)
- Cephalophus ogilbyi, Paa wa Ogilby (Ogilby's Duiker)
- Cephalophus rubidis, Paa Mwekundu (Ruwenzori Duiker)
- Cephalophus rufilatus, Paa Mbavu-nyekundu (Red-flanked)
- Cephalophus silvicultor, Kipoke (Yellow-backed Duiker)
- Cephalophus spadix, Mindi (Abbott's Duiker)
- Cephalophus weynsi, Funo wa Weyns (Weyns's Duiker)
- Cephalophus zebra, Paa Milia (Zebra Duiker)
- Jenasi Philantomba
- Philantomba maxwellii, Chesi wa Maxwell (Maxwell's Duiker)
- Philantomba monticola, Chesi (Blue duiker)
- Philantomba walteri, Chesi wa Walter (Walter's Duiker)
- Jenasi Sylvicapra
- Sylvicapra grimmia, Nsya (Common Duiker)
- Jenasi Cephalophus
Picha
hariri-
Paa nunga
-
Funo wa Peters
-
Paa mgongo-mweusi
-
Funo
-
Paa mweusi
-
Paa paji-jeusi
-
Paa mbavu-nyekundu
-
Kipoke
-
Funo wa Weyns
-
Paa milia
-
Chesi wa Maxwell
-
Chesi
-
Nsya
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paa (Bovidae) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.