Pico de São Tomé

Pico de São Tomé ni mlima mrefu kuliko yote ya kisiwa cha Sao Tome na cha nchi ya Sao Tome na Principe.

Una asili ya volikano na urefu wa mita 2,024.

Marejeo hariri


Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pico de São Tomé kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.