Pijimi alifariki Mkopti aliyeishi kama mmonaki nchini Misri katika karne ya 4.

Kanisa la Kikopti linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, 20 Desemba.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.