Piton des Neiges ni volikano na safu ya milima ya kisiwa cha Reunion, katika bahari Hindi.

Urefu wake unafikia hadi mita 3,069 juu ya usawa wa bahari.

Piton des Neiges

Tazama pia hariri