Plaek Phibunsongkhram

Plaek Phibunsongkhram (kwa Kithai: แปลก พิบูลสงคราม; 14 Julai 1897 - 11 Juni 1964) alikuwa afisa wa jeshi la Thailand na mwanasiasa ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Thailand na dikteta kutoka mwaka 1938 hadi 1944 na kuanzia 1948 hadi 1957.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Plaek Phibunsongkhram kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.