Proteri
Proteri (alifariki 28 Machi 457) alikuwa Patriarki wa Aleksandria tangu mwaka 451 hadi alipouawa kikatili katika vurugu iliyofanywa na Wakristo waliokataa maamuzi ya Mtaguso wa Kalsedonia[1][2].
Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini[3].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifodini chake[4] au tarehe 28 Februari.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Evagrius Scholasticus, Ecclesiastical History (AD431-594), translated by E. Walford (1846). Book 2, chapter 5
- ↑ Pearse, Roger. "Zachariah of Mitylene, Syriac Chronicle (1899). Book 4". www.tertullian.org. Iliwekwa mnamo 2018-10-02.
{{cite web}}
: no-break space character in|title=
at position 48 (help) - ↑ https://catholicsaints.info/saint-proterius-of-alexandria/
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Meyendorff, John (1989). Imperial unity and Christian divisions: The Church 450-680 A.D. The Church in history. Juz. la 2. Crestwood, NY: St. Vladimir's Seminary Press.
{{cite book}}
: Invalid|ref=harv
(help)
Viungo vya nje
hariri- "Proterius (451–457)". Official web site of the Greek Orthodox Patriarchate of Alexandria and All Africa. Iliwekwa mnamo 2011-02-07.
- St Proterius of Alexandria Orthodox Synaxarion
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |