Prudensi wa Tarazona

Prudensi wa Tarazona (aliishi karne ya 5/karne ya 6 hivi) alikuwa askofu wa jimbo la Tarazona, Hispania.

Sanamu ya Mt. Prudensi.

Kabla ya hapo aliishi miaka saba upwekeni, halafu aliinjilisha eneo la Calahorra[1].

Heshima ya watu kwake kama mtakatifu ni ya zamani sana.

Sikukuu yake huadhimishwa kila mwaka tarehe 28 Aprili[2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/51130
  2. Martyrologium Romanum
  3. San Prudencio. Basque Countru Tourism. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-01-11. Iliwekwa mnamo 13 March 2014.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.