Raúl Jiménez (alizaliwa 5 Mei 1991) ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Uingereza Wolverhampton Wanderers, kwa mkopo kutoka Benfica, na wa timu ya taifa ya Mexico.

Raúl Jiménez

Kazi ya klabu

hariri

Alianza kazi yake katika mfumo wa vijana wa klabu ya América kabla ya kuanza katika msimu wa kwanza mwezi Oktoba 2011. Alishinda michuano yake ya kwanza na América mwaka 2013.

Mnamo Agosti 2014, Jiménez aliuzwa kwa klabu ya Hispania Atlético Madrid. Ambao walikuwa mabingwa wa ligi. Baada ya msimu mmoja aliuzwa Benfica.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Raúl Jiménez kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.