Rejina wa Alise (kwa Kifaransa: Reine; alifariki Alise, leo nchini Ufaransa, karne ya 3) alikuwa mwanamke aliyeuawa kwa agizo la baba yake Olibri baada ya kujiunga na Ukristo na kukataa kuuasi[1].

Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.