Rethabile Ramaphakela

Mwigizaji wakike kutokea Afrika Kusini

Rethabile Ramaphakela (alizaliwa 13 Aprili 1987) ni mwigizaji na muongozjai wa filamu wa Afrika Kusini.[1] Anajulikana zaidi kama muongozaji na mtayarishaji wa filamu na tamthilia mbalimbali za televisheni ya Bedford Wives na The Bang Bang Club.[2]

Maisha binafsi hariri

Rethabile ni dada wa kaka wawili Tshepo Katleho Ramaphakela.

Kazi hariri

Rethabile ni mtangazaji wa kituo cha telesheni cha KTV, mwaka 2010 yeye pamoja na kaka zake walianzisha kampuni ya filamu ya Burnt Onion.[3] Mwaka 2014 alicheza katika filamu ya The Bang Bang Clubalitengeza filamu ilobeza katika kuzungumzia vita vya Goodbye Thokoza vita vya mwaka 1980 .[4] baadae alitengeza pia filamu ya kwenye runinga ya Thur no Thulani, Kota Life Crisis na Check Coast through the production house.[5]

Mwaka 2020,aliongoza filamu ya vichekesho ya Seriously Single pamoja na kaka yake Katleho Ramaphakela.[6] ilotoka tarehe 13 Julai 2020 chini ya Netflix.

Sanaa hariri

Mwaka filamu uhusika aina ya sanaa marejeo.
2010 The Bang Bang Club Muigizaji: mwandishi wa Habari mwanamke Filamu
2014 Check Coast Muandishi Muendelezo wa filamu za televisheni
2015 My Perfect Family Mtayarishaji mkuu, mhariri Muendelezo wa filamu za televisheni
2017 Bedford Wives Mtayarishaji mkuu Muendelezo wa filamu za televisheni
2020 Seriously Single muongozaji, Mtayarishaji mkuu Filamu


Marejeo hariri

  1. "Rethabile Ramaphakela: Director". MUBI. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-27. Iliwekwa mnamo 13 November 2020.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "A successful movie maker and clever businesswoman". Sowetan Live. Iliwekwa mnamo 13 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Rethabile Ramaphakela joins the call for more African creators to attend MIPTV “to be here to plant the seeds” – MIPTV News". mipblog. Iliwekwa mnamo 13 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "A successful movie maker and clever businesswoman". Sowetan Live. Iliwekwa mnamo 13 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  5. "Rethabile Ramaphakela - Ten years in film & tv production - and still going strong". The Bar. Iliwekwa mnamo 13 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  6. "Seriously Single’s Bohang Moeko and Yonda Thomas reflect on love and dating". news24. Iliwekwa mnamo 8 November 2020.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rethabile Ramaphakela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.