Rita Gani
Mwamuzi wa soka wa Malaysia
Rita Binti Gani (alizaliwa 11 Mei 1977 huko Sabah, Malaysia ) ni mwamuzi wa mpira wa miguu wa chama cha soka cha Malaysia . Pia ni Koplo katika jeshi la Polisi la Malaysia, [1] alianza kuchezesha mpira wa miguu mwaka 2004 na alioorodheshwa kwenye orodha ya kimataifa ya FIFA ya waamuzi mwaka 2006. [2]
Alichaguliwa kuwa mwamuzi bora mwanamke wa mwaka katika mashindano ya AFC mnamo mwaka 2014 baada ya kuchezesha mechi sita katika mashindano ya kombe la AFC la wanawake nchini Vietnam ikiwa ni pamoja na nusu fainali kati ya Australia na Korea Kusini. [3] [4]
Marejeo
hariri- ↑ "Two women cops make nation proud by flying Malaysian flag at Womens FIFA World Cup". Mei 15, 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-07. Iliwekwa mnamo Juni 13, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ FIFATV (Juni 4, 2015). "Referees at the FIFA Women's World Cup Canada 2015™: RITA GANI". Iliwekwa mnamo Juni 13, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Asian Football Confederation (Novemba 30, 2014). "AFC Women Referee of the Year: Rita Binti Gani". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 15 Juni 2015. Iliwekwa mnamo Juni 13, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Rita pengadil terbaik AFC". Desemba 2, 2014. Iliwekwa mnamo Juni 13, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rita Gani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |