Ritta Enespher Kabati

Mwanasiasa wa Tanzania

Dkt. Ritta Enespher Kabati (amezaliwa 25 Desemba 1969) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi (CCM).

Alishika nafasi mbalimbali za uongozi katika Chama Cha Mapinduzi katika mkoa wa Dar es Salaam. Aliwahi kuwa diwani wa viti maalum kata ya Ukonga kabla ya kugombea Ubunge viti maalum vya wanawake mkoa wa Iringa.

Amechaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalumu kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017