Robert Fulton (14 Novemba 1765 - 25 Februari 1815) alikuwa mhandisi na mvumbuzi wa Marekani aliyebuni na kutengeneza meli ya mvuke iliyokuwa ya kwanza kufaulu kiuchumi.

Robert Fulton
Meli ya Fulton

Fulton alifanya kazi katika Ulaya, yaani Ufaransa na Uingereza, alipohusika katika shughuli mbalimbali za uhandisi, pamoja na majaribio ya kutumia injini ya mvuke kwa maboti na mashua.

Mnamo mwaka 1806 alirudi Marekani alipopewa kazi ya kutengeneza meli ya mvuke kwa usafiri wa abiria na mizigo kwenye mto Hudson kati ya New York na Albany.

Hii ilikuwa meli ya mvuke ya kwanza iliyoweza kutekeleza shughuli zake bila matatizo na kufaulu kiuchumi.

Kaunti ya Fulton (kata katika jimbo la Georgia) iliitwa jina lake.

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • Robert Fulton Birthplace
  • Photos of Fulton's Birthplace
  • Phair, Montgomery. "Robert Fulton and the Secret War of 1812". Casebook: The War of 1812. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 2, 2006. Iliwekwa mnamo 2021-02-20. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  • CHAPTER XIII: ROBERT FULTON in Great Fortunes, and How They Were Made (1871), by James D. McCabe, Jr., Illustrated by G. F. and E. B. Bensell, a Project Gutenberg eBook.
  • Harvey, W.S.; Downs-Rose, G. (1980). "William Symington". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Februari 16, 2002. Iliwekwa mnamo 2021-02-20. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Buckman, David Lear (1907). Old Steamboat Days on The Hudson River. The Grafton Press. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 26, 2010.{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  • Examples of art by Robert Fulton at the Art Renewal Center
  • Thurston, Robert H. "Chapter V: The Modern Steam Engine". A history of the growth of the steam-engine. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-02-21. Archived from the original.
  • Iles, George (1912), Leading American Inventors, New York: Henry Holt and Company, ku. 40–75
  • Booknotes interview with Kirkpatrick Sale on The Fire of His Genius: Robert Fulton and the American Dream, November 25, 2001.
  • Collection of Robert Fulton manuscripts Ilihifadhiwa 1 Januari 2016 kwenye Wayback Machine. – digital facsimile from the Linda Hall Library
  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Fulton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.