Roberto Firmino

Roberto Firmino Barbosa (alizaliwa 2 Oktoba 1991) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anachezea klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool na timu ya taifa ya Brazil. Ni mchezaji mwenye uwezo wa kucheza kama kiungo mshambuliaji, mfungaji na winga wa kushoto.

Roberto Firmino akiwa Hoffenheim.

HoffenheimEdit

Firmino iliyosainiwa na Hoffenheim mnamo Desemba 2010, na mkataba uliendelea mpaka Juni 2015. Aliwasili rasmi huko Hoffenheim tarehe 1 Januari 2011. Kisha meneja wa Hoffenheim Ernst Tanner alisema kuwa "walifurahi kuajiri mchezaji wa Brazil mwenye uwezo mkubwa". Firmino aliipatia Hoffenheim mafanikio makubwa.

LiverpoolEdit

Tarehe 23 Juni 2015, wakati Firmino aliipigania Brazil kwenye Copa América, Hoffenheim na Firmino walikubaliana Firmino kuhamia katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool kwa ada ya £ milioni 29. Firmino Alifunga magoli yake ya kwanza matano dhidi ya Arsenal na Norwich City mwezi huo wa sita na ndiyeo mchezaji hatari zaidi kwa kuwezesha magoli mengi ya wenzake.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roberto Firmino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.