Roeperocharis

jenasi ya mimea
Roeperocharis
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Monocots (Mimea ambayo mche wao una jani moja)
Oda: Asparagales (Mimea kama asparaga)
Familia: Orchidaceae (Okidi)
Nusufamilia: Orchidoideae
Jenasi: Roeperocharis
Rchb.f.
Ngazi za chini

Spishi 5:

Roeperocharis ni jenasi ya mimea itoayo maua kutoka familia ya okidi, Orchidaceae, yenye asili ya mashariki mwa Afrika. Spishi zinazotambulika kwenye jenasi hii tangu Juni 2014 ni zifuatazo: [1] [2]

  1. Roeperocharis alcicornis Kraenzl. katika HGReichenbach - Ethiopia
  2. Roeperocharis bennettiana Rchb.f. - Ethiopia, Kenya, Tanzania, Malawi, Msumbiji, Zambia
  3. Roeperocharis maleveziana Geerinck - Zaire
  4. Roeperocharis urbaniana Kraenzl. katika HGReichenbach - Ethiopia
  5. Roeperocharis wentzeliana Kraenzl. - Zaïre, Tanzania, Malawi, Zambia

Angalia pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Kew World Checklist of Selected Plant Families
  2. Pridgeon, A.M., Cribb, P.J., Chase, M.C. & Rasmussen, F.N. (2001). Orchidoideae (Part 1). Genera Orchidacearum 2: 1-416. Oxford University Press, New York, Oxford.
  Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roeperocharis kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.