Romakari
Romakari (pia: Romacharius, Romachaire, Romphaire, Rúmfari; alifariki 600 hivi) alikuwa askofu wa Coutances, Ufaransa, baada ya Laudo, kuanzia mwaka 566 hadi kifo chake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Novemba[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- (Kifaransa) Louis Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. II, Paris, 1910, p. 240
- (Kiitalia) Gérard Mathon, v. Romacario, vescovo di Coutances, Bibliotheca Sanctorum, vol. 11, coll. 308-309
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |