Mwaridi
(Elekezwa kutoka Rosa)
Mwaridi (Rosa spp.) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mwaridi
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mwaridi ni mti, kichaka au mtambaa wenye miiba na maua yanukiayo vizuri. Kwa asili jina hili limetumika kwa Rosa x damascena, lakini siku hizi hutumika kwa spishi zote za jenasi Rosa. Jenasi hii ni jenasi-mfano ya familia Rosaceae. Maua huitwa mawaridi au halwaridi.
Spishi zilizotapakaa
hariri- Rosa banksiae, Mwaridi wa Lady Banks (Lady Banks Rose)
- Rosa californica, Mwaridi wa Kalifornia (California Rose)
- Rosa canina, Mwaridi mbwa (Dog Rose au Briar Bush)
- Rosa carolina, Mwaridi wa Karolina (Pasture Rose)
- Rosa chinensis, Mwaridi wa China (China Rose)
- Rosa foetida, Mwaridi wa Austria (Austrian Yellow au Austrian Briar)
- Rosa gallica, Mwaridi wa Ufaransa (Gallic Rose au French Rose)
- Rosa gigantea, Mwaridi mkubwa (Giant Rose)
- Rosa glauca, Mwaridi majani-mekundu (Redleaf Rose)
- Rosa laevigata, Mwaridi Cherokee (Cherokee Rose, Camellia Rose au Mardan Rose)
- Rosa majalis, Mwaridi vitawi-marungi (Cinnamon Rose)
- Rosa minutifolia, Mwaridi majani-madogo (Baja Rose)
- Rosa moschata, Mwaridi miski (Musk Rose)
- Rosa multiflora, Mwaridi maua-mengi (Multiflora Rose)
- Rosa pimpinellifolia, Mwaridi wa Uskoti (Scotch Rose)
- Rosa rubiginosa, Mwaridi wa Ulaya (Eglantine au Sweet Briar)
- Rosa rugosa, Mwaridi wa Japani (Rugosa Rose au Japanese Rose)
- Rosa virginiana, Mwaridi wa Virginia (Virginia Rose)
Picha
hariri-
Waridi jekundu
-
Waridi pinki
-
Waridi njano
-
Mawaridi njano
-
Mawaridi meupe
-
Majani
-
Miiba
-
Matunda
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mwaridi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |