Rosa Ree

msanii wa muziki

Rosary Robert Iwole (anajulikana kama Rosa Ree, alizaliwa Aprili 21, 1995) ni mwimbaji wa muziki wa hip hop kutoka Tanzania.[1][2][3][4][5][6][7][8][9]

Maisha na elimu

hariri

Rosa Ree alizaliwa Moshi, Tanzania .[10][11] Alilelewa Arusha na alitumia muda kidogo wa utoto wake nchini Kenya. Alimaliza elimu yake ya msingi huko Narobi, Kenya katika Shule ya Msingi Ainsworth na Rudolf Steiner Primary. [12]Aliendelea na masomo yake ya sekondari katika shule ya Askofu Mazzoldi.[13]

Mnamo mwaka 2015, Rosa Rose alizindua taaluma yake ya muziki na alisainiwa katika Lebo ya Nahreel iitwayo The Industry Studios. Alitoa wimbo wake wa kwanza One Time[14][15] mwaka 2016. Mnamo mwaka 2020 alishiriki katika BET 2020 Hip Pop Cypher pamoja na Kwesi Arthur kutokea nchini Ghana na Elizabeth Ventura kutokea nchini Angola.[16]

Changamoto

hariri

Rosa Ree amekutana na changamoto kadhaa, ikiwemo ukosoaji wa jamii na changamoto za kibiashara zinazohusiana na jinsia yake katika tasnia ya Hip-Hop. Mwaka 2019, alihusishwa na sakata la kufungiwa kazi zake na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa sababu ya maudhui yaliyodaiwa kuwa yasiyo na maadili kwenye baadhi ya video zake.

Tuzo na mafaniko

hariri

Mwaka 2023, alishinda tuzo mbili katika Tuzo za Muziki Tanzania (TMA):

  • Msanii Bora wa Hip Hop wa Kike
  • Wimbo Bora wa Hip Hop wa Mwaka kwa wimbo wake "Blue Print"

Pia, mwaka 2019, aliteuliwa kuwania tuzo tatu katika Tuzo za Muziki za AFRIMA, zikionyesha kutambuliwa kwa kipaji chake katika ngazi ya kimataifa.

Pia, Rosa Ree alitajwa katika mchakato wa uteuzi wa Tuzo za Grammy, hatua inayodhihirisha ukuaji na kutambulika kwake katika tasnia ya muziki kimataifa.

Diskografia

hariri
  • Its Your Birthday (2021)
  • Wote ft Snake Fire, Barkeliam, DIZ Afrikana & Ray Medya (2021)
  • Satan (2021)
  • That Gal (2020)
  • Usiyempenda Kaja (2020)
  • Kanyor' Aleng (2020)
  • Kupoa (2020)
  • Nazichanga ft Roberto (2020)
  • Balenciaga (2020)
  • Sukuma Ndinga (2020)
  • Sukuma Ndinga Remix ft Rayvanny (2020)
  • Asante Baba (2019)
  • Alamba Chini ft Spice Diana, Gigi Lamayne & Ghetto Kids (2019)
  • Acha Ungese ft Fik Fameica (2019)[17]
  • What You Know (2020)
  • Nguvu Za Kiume (2019)
  • Champion ft Ruby (2019)
  • Asante Baba Remix ft Timmy Tdat (2019)
  • Dip n' Whine it ft Gnako (2019)
  • Banjuka (2018)
  • One Way (2018)
  • Way Up ft Emtee (2018)[18][19]
  • Marathon ft Billnas (2018)
  • Dow (2019)[20]
  • Champion ft Ruby (2020)
  • Up in the Air (2017)
  • One Time (2017)
  • One Time Remix ft Khaligraph Jones (2017)[21]

Marejeo

hariri
  1. "Rosa Ree: I'm not dating Timmy TDat, he can't seduce". Nairobi News (kwa American English). 2019-04-13. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  2. "Rosa Ree aeleza sababu ya AY na Diamond kumkubali – Bongo5.com". bongo5.com. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  3. "is Timmy Tdat dating Rosa Ree? investigatory facts debunked" (kwa American English). 2019-03-29. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  4. "BBC World Service - This Is Africa, Rosa Ree". BBC (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  5. Catherine Nderitu, Catherine Nderitu (2019-06-27). "Rosa Ree: the baddest Rapper in Tanzania". Ghafla! Kenya (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  6. Josh Ruby (2019-12-12). "Rosa Ree features Spice Diana, Ghetto Kids on 'Alamba Chini' | VIDEO". MBU (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  7. Dex Antikua (2021-05-03). "3 Qualities Rosa Ree Wants In A Man". VIBE MTAANI (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-08-15. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  8. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-29. Iliwekwa mnamo 2022-05-01.
  9. Branny Mutali, Branny (2020-04-29). "Rosa Ree enlists Rayyvanny in new song "Sukuma Ndinga"". Ghafla! Kenya (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  10. "Things you didn't know about Tanzanian singer Rosa Ree - Opera News". ke.opera.news. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-28. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  11. Tracy Gesare. "Why I am a goddess – Tanzanian rapper Rosa Ree". Standard Entertainment (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  12. Zadock Thomas (2020-09-30). "Rosa Ree Biography, Career, Education, Boyfriend, Family and Net Worth". The East African Feed (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  13. David Kingsley (2019-08-26). "Timmy Tdat's bae Rosa Ree is back with a diss track 'What You Know' (Audio)". Ghafla! Kenya (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-02-26.
  14. Soundcity (2016-11-21). "Rosa Ree's 'One Time' and Stanley Enow's 'Follow Me' are new entries on #AfricaRoxCountdown this week". Soundcity (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  15. "♫ Listen to One Time by Rosa Ree". www.smubuafrica.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  16. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-07-02. Iliwekwa mnamo 2022-05-01.
  17. Precious Michael (2019-10-23). "Rosa Ree – Acha Ungese ft. Fik Fameica MP3 DOWNLOAD". NaijaVibes (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  18. Kevin Jasper (2018-06-04). "DOWNLOAD MP3: Rosa Ree – Way Up ft. Emtee". NaijaVibes (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  19. "Rosa Ree – Way Up ft Emtee — Afro Muziki" (kwa American English). 2018-06-06. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-10. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  20. "Audio: Rosa Ree - Dow | MP3 Download". Bongo Exclusive (kwa english). Iliwekwa mnamo 2022-10-18.{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link)
  21. "Rosa Ree Ft Khaligraph Jones - One Time Remix.mp3| Mino". mino.notjustok.com (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-10-18. Iliwekwa mnamo 2022-10-18.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rosa Ree kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.