21 Aprili
tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 21)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 21 Aprili ni siku ya 111 ya mwaka (ya 112 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 254.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1795 - Mtakatifu Vinsenti Pallotti, padre Mkatoliki kutoka Italia
- 1837 - Fredrik Bajer, mwanasiasa Mdenmark, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1908
- 1882 - Percy Bridgman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1946
- 1889 - Paul Karrer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1937
- 1926 - Elizabeth II, Malkia wa Uingereza
Waliofariki
hariri- 1073 - Papa Alexander II
- 1109 - Mtakatifu Anselm wa Canterbury, askofu mkuu wa Canterbury (Uingereza), mmonaki na mwalimu wa Kanisa kutoka Aosta (Italia)
- 1894 - Mtakatifu Konrad wa Parzham, bradha Mfransisko nchini Ujerumani
- 1910 - Mark Twain, mwandishi kutoka Marekani
- 1965 - Edward Appleton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1947
- 1989 - James Kirkwood, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1976
- 2009 - Santha Rama Rau, mwandishi kutoka Uhindi
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Anselm wa Canterbury, Apoloni wa Roma, Aristo, Anastasi wa Sinai, Mael Ruba, Konrad wa Parzham, Romano Adame n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-11 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |