Rufo, Prisko na wenzao

Rufo, Prisko na wenzao Optioni, Amoni, Yusto, Abdas, Asenei, Silvani, Magnili, Paternika, Septimia, Julia, Potamia na Hospia ni kati ya Wakristo wa Afrika Kaskazini (Moroko ya leo) waliouawa kwa ajili ya imani yao.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yao, hawaorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 30 Julai.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.