Papa Honorius I
(Elekezwa kutoka SS Honorius I)
Papa Honorius I alikuwa Papa kuanzia tarehe 27 Oktoba 625 hadi kifo chake tarehe 12 Oktoba 638[1]. Alitokea Campania, Italia[2].
Alimfuata Papa Bonifasi V akafuatwa na Papa Severino.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Honorius I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |