Saida Menebhi
Mshairi na mwanaharakati wa haki za wanawake wa Moroko
Saida Menebhi (Marrakesh, 1952 - Casablanca, 11 Desemba 1977) alikuwa mshairi wa Moroko, mwalimu wa shule ya sekondari, na mwanaharakati wa vuguvugu la mapinduzi la Ila al-Amam.
Mnamo 1975 yeye, pamoja na washiriki wengine watano wa harakati hizo, alihukumiwa kifungo cha miaka saba kwa shughuli za kupinga serikali. Mnamo tarehe 8 Novemba 1977, ndani ya jela huko Casablanca, alishiriki katika mgomo wa pamoja wa njaa, akafa katika siku ya 35 ya mgomo katika Hospitali ya Avicenne.[1] [2]
Marejeo
hariri- " الشهيدة سعيدة المنبهي كتبت الشعر بالاظافر والدم (مختارات من ديوانها) " . الموقع الإلكتروني لمؤسسة الحوار المتمدن . العدد 4867 . 15 يوليو 2015 Archived 2017-02-05 at the Wayback Machine.
- "11 décembre 1977 : décès de Saïda Menebhi, « la martyre du peuple marocain »" (in French). Diversgens. Retrieved 1 May 2018.
- ↑ http://www.ahewar.org/debat/show.art.asp?aid=476439
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-05-14. Iliwekwa mnamo 2022-02-28.