Salvatore wa Horta
Salvatore wa Horta ni jina la kitawa la Salvador Pladevall i Bien (Santa Coloma de Farners, Girona, Hispania, Desemba 1520 - Cagliari, Italia, 1567), bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wareformati anayejulikana kwa kufanya miujiza mingi ajabu (inasemekana milioni moja) kisha kujitoa kwa Kristo kama chombo kinyenyekevu kwa usalama wa roho na miili ya wengi.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |