Samuel Eliot Morison

Samuel Eliot Morison (9 Julai 188715 Mei 1976) alikuwa mwanahistoria na mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu mara mbili, kwanza mwaka wa 1943 kwa wasifu yake ya Kristoforo Kolumbus, na tena 1960 kwa wasifu yake ya John Paul Jones.

Samuel Eliot Morison

Amezaliwa 9 Julai 1887
Boston, Marekani
Amekufa 15 Mei 1976
Nchi Marekani
Inkwell icon - Noun Project 2512.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samuel Eliot Morison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.