Samueli wa Kalamun

Samueli wa Kalamun (Daklube, Misri, 597 - Mlima Qalamoun, Misri, 17 Desemba 695) ni Mkopti ambaye aliteswa na Waorthodoksi wa Bizanti, alishuhudia uvamizi wa Waarabu nchini Misri, na alijenga monasteri kwenye Mlima Qalamoun.

Waorthodoksi wa Mashariki wanamheshimu kama mtakatifu.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.