Sandra Hunt

mwamuzi wa soka wa Marekani

Sandra Hunt (alizaliwa Juni 14, 1959) alikuwa mwamuzi wa mpira wa miguu kutoka nchini Marekani.

Alikuwa mwamuzi wa FIFA tangu 1999 hadi 2004 [1] na kwa sasa anafanya kazi kama mkufunzi wa waamuzi wa shirika la Professional Referee Organisation (PRO). [2]

Hunt alichaguliwa kuchezesha michuano ya Kombe la Dunia la FIFA la wanawake mnamo 1999 na 2003. [3] .

Hunt alianza kazi ya uamuzi mwaka 1987. Mnamo Agosti 1998 Hunt alikua mmoja wa wanawake wawili wa kwanza kuchezesha ligi ya Major League Soccer (MLS), pia alichezesha katika Shirikisho la Soka la Wanawake (WUSA). [4]

Marejeo hariri

  1. Scoggins, Chip (June 19, 1999). "Spotlight Also Shines On Women Referees". Chicago Tribune. Iliwekwa mnamo December 27, 2013.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "PRO Support Staff Roster". PROreferees.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-01-30. Iliwekwa mnamo December 27, 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Match Report". FIFAworldcup.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo December 13, 2004.  Check date values in: |archivedate= (help)
  4. "U.S. Soccer and FIFA Referee Sandra Hunt Officiates Final Game of Illustrious Career". United States Soccer Federation. October 22, 2004. Iliwekwa mnamo December 27, 2013.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sandra Hunt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.