Bata-shimo

(Elekezwa kutoka Sarkidiornis)
Bata-shimo
Bata bukini wa Misri
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Anseriformes (Ndege kama bata)
Familia: Anatidae (Ndege walio na mnasaba na bata)
Nusufamilia: Tadorninae
Reichenbach, 1849
Ngazi za chini

Jenasi 10:

Mabata-shimo ni ndege wa maji wa nusufamilia ya Tadorninae katika familia ya Anatidae. Mabata hawa ni katikati ya mabata wachovya na mabata bukini kwa ukubwa na kwa umbo. Wanaitwa mabata-shimo kwa sababu spishi nyingi hutaga mayai ndani ya shimo la mti au pango la sungura, mhanga n.k. Hula wanyamakombe, kaa, wadudu, nyungunyungu au manyasi, mimea ingine na mbegu. Wakiruka angani wanafanana zaidi na mabata bukini kuliko na mabata wachovya.

Spishi za Afrika

hariri

Spishi za mabara mengine

hariri

Spishi za kabla ya historia

hariri
  • Alopochen sirabensis (Malagasy Shelduck, Madagaska) - labda spishi ndogo ya A. mauritianus
  • Centrornis majori (Malagasy sheldgoose, Madagaska)
  • Pachyanas chathamica (Chatham Island Duck, Visiwa vya Chatham)
  • Tadorna cf. variegata (Chatham Islands Shelduck, Visiwa vya Chatham)