Sekundi wa Aleksandria

Sekundi wa Aleksandria (alifariki Aleksandria, 353 hivi) ni kati ya mapadri Wakatoliki wa Misri waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Konstanti II aliyefuata Uario.

Kwa kuwa hayajulikani mengine kuhusu historia yake, haorodheshwi tena na Martyrologium Romanum.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Mei[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.