Sekundo wa Asti (alifariki Asti, Piemonte, Italia Kaskazini, 29 Machi 119) anakumbukwa kama Mkristo aliyefia imani yake kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Hadrian[2].

Mt. Sekundo alivyochorwa[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Machi[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Torino Medievale - Percorso - Porta Doranea. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-22. Iliwekwa mnamo 2021-03-26.
  2. [1]
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.