Semta (Afrika)

(Elekezwa kutoka Semta (Africa))

36°16′09″N 9°53′14″E / 36.269282°N 9.887345°E / 36.269282; 9.887345

Dola la Rumi kaskazini mwa Afrika (125 BK)

Semta ilikuwa mji wa Dola la Roma katika jimbo la Afrika ya Kiroma. Ilijulikana pia kama Augustum Semta. Mahali pake panadhaniwa kuwa kwenye magofu ya leo yanayoitwa Henchir Zemba [1], takriban kilomita 20 kusini magharibi mwa Zaghouan [2], upande wa kusini wa jiji la Tunis[3].

Semta ya zamani ilijulikana kama makao makuu ya askofu[4] wa Kanisa Katoliki chini ya jimbo kuu la Karthago.[5][6][7] Mmojawapo alitajwa katika mwaka 411. Tangu mwaka 1933 Kanisa Katoliki limeanza kutumia tena jina la Semta kama dayosisi ya jina kwa ajili ya maaskofu wasio na dayosisi halisi.[8][9]

Marejeo

hariri
  1. Brent D. Shaw, Sacred Violence: African Christians and Sectarian Hatred in the Age of Augustine (Cambridge University Press, 2011 ).
  2. Barington Altas.
  3. http://imperium.ahlfeldt.se/places/24857.html
  4. Semta at catholic-hierarchy.org.
  5. "Apostolische Nachfolge – Titularsitze". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-01-19. Iliwekwa mnamo 2021-07-31.
  6. Semta at gcatholic.org (English)
  7. J. Mesnage, L'Afrique chrétienne, (Paris, 1912), p. 63.
  8. Le Petit Episcopologe, Issue 127.
  9. Revue des Ordinations Épiscopales, Issue 1955, Number 71.
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Semta (Afrika) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.