Senari wa Avranches

Senari wa Avranches (au Senier, Sineri, Sinerius, Senator; alifariki karne ya 6 hivi [1]) alikuwa askofu wa Avranches, Normandy, huko Ufaransa [2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Septemba[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Viard, Bibliotheca Sanctorum, vol. XI, col. 1213.
  2. Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. II, p. 222.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/70640
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.