Serapioni wa Algiers

Serapioni Scott, O. de M. (117914 Novemba 1240) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Uingereza[1][2][3] au Uskoti[4] ambaye alikwenda Algeria kukomboa watumwa akauawa kwa ajili ya imani yake kwa kusulubiwa na kukatwa vipandevipande.

Kifodini cha Mt. Serapion kadiri ya Francisco de Zurbarán.

Papa Benedikto XIII alimtangaza mfiadini na kukubali shirika lake limheshimu (14 Aprili 1728).[2] Halafu Papa Benedikto XIV alimuingiza katika orodha ya watakatifu.

Sikukuu yake huadhimshwa tarehe 14 Novemba[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.