Papa Benedikto XIII

Papa Benedikto XIII, O.P. (2 Februari 164921 Februari 1730) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Mei/4 Juni 1724 hadi kifo chake[1]. Alitokea Gravina, Italia[2].

Papa Benedikto XIII

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pietro Francesco Orsini.

Alimfuata Papa Inosenti XIII akafuatwa na Papa Klementi XII.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Benedikto XIII kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.