Sergi wa Radonezh[1] (kwa Kirusi Сергий Радонежский, Sergiy Radonezhsky; 14 Mei 1314 - 25 Septemba 1392) ni kati ya wamonaki maarufu zaidi wa Urusi kutokana na utakatifu wake.

Picha takatifu ya Mt. Sergi na maisha yake.

Kisha kuishi kama mkaapweke misituni, alishika maisha ya kijumuia monasterini, na baada ya kufanywa abati, aliyaeneza, akiwa mtu mpole, mshauri wa watawala na mfariji wa waumini wote[2].

Sergi alitangazwa mtakatifu wa Kanisa la Kiorthodoksi la Kirusi mwaka 1452[3][4][5] au 1448[6][7][8]. Hata Kanisa Katoliki[9][10][11], Waanglikana[12] na Walutheri[13] wanamheshimu hivyo.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Septemba[14][15] lakini pia tarehe 5 Julai.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "The Life of our Venerable Father Amongst the Saints St. Sergius of Radonezh", St. Sergius of Radonezh Russian Orthodox Cathedral, Parma, Ohio
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/71950
  3. "Сергий Радонежский". История Отечества с древнейших времен до наших дней. Большая российская энциклопедия (издательство).
  4. Кучкин, Владимир Андреевич. "Сергий Радонежский". Great Soviet Encyclopedia Большая Советская Энциклопедия.
  5. Gritsanov, Alexander Alekseevich; Sinilo, G. V., eds. (2007). "Сергий Радонежский". Религия: Энциклопедия. Книжный Дом. p. 960.
  6. Собрание государственных грамот и договоров. М., 1813. Том 1. № 63, 68.
  7. Смирнов, Михаил Иванович. Культ Сергия Радонежского (Исторический очерк) // Антирелигиозник. 1940. № 5—6. С. 32—39.
  8. Филимонов С. Б. Обзор архива М. И. Смирнова // Археографический ежегодник за 1971 г. М., 1972. С. 318—324.
  9. "Honoring Eastern Orthodox Saints | EWTN". EWTN Global Catholic Television Network (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-07-31.
  10. "St. Sergius of Radonezh - Saints & Angels".
  11. Butler, Alban; Thurston, Herbert; Attwater, Donald (1956). Butler's Lives of the Saints. New York: P.J. Kenedy & Sons. uk. 639.
  12. "Holy Men and Holy Women" (PDF). Churchofengland.org.
  13. "Notable Lutheran Saints". Resurrectionpeople.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-05-16. Iliwekwa mnamo 2024-06-11.
  14. Martyrologium Romanum
  15. "The Calendar". The Church of England (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-04-08.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.