Servus wa Tuburbium

Servus wa Tuburbium (alifariki 484 hivi) ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario.

Habari zao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vita.[1][2]

Tangu kale anaheshimiwa kama watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Desemba au 7 Desemba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Ambrasi, Domenico (1 Feb 2001). "Santi Dionisia, Dativa, Leonzia, Terzo, Emiliano, Bonifacio, Maiorico e Servo Martiri". Santi e beati. Iliwekwa mnamo Februari 18, 2009.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. [Culusi "Holy Martyrs Dionysia, Dativa, Emilianus, Boniface, Leontia, Tertius, and Majoricus (+484)"]. Mystagogy Resource Center. Iliwekwa mnamo Julai 15, 2018. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. https://catholicsaints.info/saint-servius/

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.