Severini wa Bordeaux

Severini wa Bordeaux (alifariki Bordeaux, Ufaransa, 420) alikuwa askofu wa 14 wa mji huo kuanzia mwaka 410 hadi kifo chake [1][2].

Sanamu yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Oktoba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. David Hugh Farmer (a cura di), The Oxford Dictionary of Saints, Oxford University Press, Oxford, 2011.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/74580
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.