Severini wa Tivoli
Severini wa Tivoli (alifariki karne ya 6 hivi) alikuwa mmonaki huko Tivoli, nchini Italia[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |