Shenuda I wa Aleksandria

Shenuda I wa Aleksandria (alifariki 19 Aprili 880) kuanzia mwaka 859 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 55 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Aprili.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.