Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa
Shirika la Maendeleo ya Viwanda la Umoja wa Mataifa (kwa Kiingereza: United Nations Industrial Development Organization; kifupi: UNIDO; kwa Kifaransa/Kihispania kifupi ni ONUDI) ni wakala maalum ndani ya mfumo wa Umoja wa Mataifa-
Makao yake makuu yako Vienna, Austria. Mpango wa UNIDO, kama Ulivyoelezwa katika tamko la Lima lililopitishwa katika kikao cha kumi na tano cha mkutano mkuu wa UNIDO mwaka 2013, ni kukuza na chapuza umoja wa maendeleo endelevu ya viwanda (ISID) katika nchi wanachama. Pia ni mwanachama wa kikundi cha maendeleo cha Umoja wa Mataifa.[1]