Wapasionisti

(Elekezwa kutoka Shirika la Mateso)

Wapasionisti (kutoka jina rasmi la Kilatini: Congregatio Passionis Iesu Christi, kifupi: C.P.) ni shirika la kitawa la kikleri la Kipapa la wanaume Wakatoliki lililoanzishwa na Paulo wa Msalaba[1] mwaka 1725 kwa kusisitiza ibada kwa mateso ya Yesu.

Mwaka 2016 walikuwa 1,964, wakiwemo mapadri 1,540.

Watakatifu wa Shirika hariri

Watakatifu walioongozwa na Wapasionisti hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wapasionisti kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.