Karoli wa Mlima Argus

Karoli wa Mlima Argus, C.P. (jina la kuzaliwa: Joannes Andreas Houben; Munstergeleen, Limburg, Uholanzi, 11 Desemba 1821Harold's Cross, Dublin, Ireland, 5 Januari 1893) alikuwa padri Mpasionisti aliyefanya kazi huko Ireland.

Mt. Charles Houben akiwa amevaa kanzu ya shirika lake (1851).

Alipata sifa kubwa kutokana na huruma yake kwa wagonjwa[1][2] na wale waliohitaji ushauri nasaha, hasa katika kitubio[3].

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 16 Oktoba 1988, na Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 3 Juni 2007.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Kaburi lake katika Mount Argus Church, Dublin.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. His reputation for healings and miracles was so great at the time that a reference is made to him in the famous novel Ulysses by James Joyce.
  2. Nolan, Anne (Summer 1992). "Father Charles of Mount Argus, 1821-1893". James Joyce Quarterly. 29 (No. 4): 841–845. JSTOR 25485327. {{cite journal}}: |number= has extra text (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Martyrologium Romanum
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.