Gemma Galgani
Gemma Galgani ni jina fupi la Maria Gemma Umberta Pia Galgani (Borgo Nuovo, Camigliano, 12 Machi 1878 - Lucca 11 Aprili 1903), msichana mlei wa Italia aliyejitokeza kama Mkristo bora mwenye karama za pekee.[1] Ameitwa Binti wa Mateso kwa jinsi alivyoshiriki yale ya Yesu.[2]
Anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Heshima baada ya kifo
haririPapa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 14 Mei 1933 halafu mtakatifu tarehe 2 Mei 1940.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Bell, Rudolph M. (2003). The Voices of Gemma Galgani: The Life and Afterlife of a Modern Saint. Chicago, IL, US: University of Chicago Press. ISBN 978-0-226-04196-4. Iliwekwa mnamo 2009-06-15.
{{cite book}}
: Unknown parameter|coauthors=
ignored (|author=
suggested) (help) - ↑ An Anthology of Christian mysticism by Harvey D. Egan 1991 ISBN 0-8146-6012-6 p. 539
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Life of St. Gemma Galgani by Germanus 2009 TAN Books ISBN 0-89555-669-3
- Orsi, Robert A.; "Two Aspects of One Life: Saint Gemma Galgani and My Grandmother in the Wound between Devotion and History, the Natural and the Supernatural," in Between Heaven and Earth: The Religious Worlds People Make and the Scholars Who Study Them (Princeton University Press, 2005), 110–45.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |