Shujaa Mamadou Ndala
Shujaa Mamadou Ndala ni jina la albamu ya Dekula Kahanga ya mwaka wa 2016. Albamu ina nyimbo zipatazo nane. Albamu hii ni ya nne tangu zile za awali ambazo ni: 1996 Safari East Africa,
2001 Sultan Qaboos, 2008 Rumaliza na hii 2016 Shujaa Mamadou Ndalakwanza kutolewa tangu kuanzishwa kwa Dekula Kahanga & His Band. Dekula ametunga nyimbo zote na kuzitayarisha kasoro namba 5 ni utunzi wake Bobo Sukari.
Shujaa Mamadou Ndala | ||
---|---|---|
Kava ya albamu ya Bomoa Mipango.
|
||
Studio album ya Dekula Kahanga | ||
Imetolewa | Mei, 2016 | |
Imerekodiwa | 2016 | |
Aina | Muziki wa dansi | |
Lugha | Kiswahili, Kilingala, Kifaransa | |
Lebo | Joji & Sensus | |
Mtayarishaji | Dekula Kahanga | |
Single za kutoka katika albamu ya Shujaa Mamadou Ndala | ||
Nyimbo zilizopo katika albamu
hariri- Shujaa Mamadou Ndala
- Mama Afrika
- Kuna Mambo
- Liverpool
- Wabibi Waleo
- Tucheze Salsa
- Kigeugeu
- Agnes
Nyimbo zote zimetayarishwa na Dekula Kahanga katika studio ya Joji & Sensus huko mjini Stockholm, Sweden.