Sigolena
Sigolena (kwa Kifaransa: Sigolène, Ségolène, Sigouleine, Segouleine; alifariki karne ya 7) alikuwa mwanamke wa Ufaransa ambaye, baada ya kuolewa na kubaki mjane akiwa na umri wa miaka 22, alijitoa kuhudumia maskini na kusali.
Hatimaye alianzisha monasteri huko Troclar ambayo akawa abesi wake wa kwanza[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririVyanzo
hariri- « Vie et Vita de sainte Ségolène, abbesse du Troclar au Kigezo:S- », Le Moyen Âge, vol.101, n°3-4, 1995, p.385-406 Kigezo:ISSN.
- Klapisch-Zuber, Christiane, ed. A History of Women in the West, vol. II: Silences of the Middle Ages. Cambridge: Belknap-Harvard, 1992.
Viungo vya nje
hariri- http://nominis.cef.fr/contenus/prenom/4206/Segolene.html « Sainte Ségolène »
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |