Simbati
Simbati, O.S.B. (pia: Simpert, Sintpert, Sintbert, Simbert; karne ya 8 – 13 Oktoba 807) alikuwa abati wa monasteri ya Kibenedikto ya Murbach, halafu askofu wa Augsburg, Ujerumani, tangu mwaka 778 hadi alipofariki miaka 29 baadaye [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririVyanzo
hariri- Holweck, F. G., A Biographical Dictionary of the Saints. 1924.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |