Simon Chibuga Masondole

Simon Chibuga Masondole (alizaliwa Bukiko, kisiwa cha Ukerewe, Mwanza, 2 Oktoba 1972) ni askofu wa Kanisa Katoliki, jimbo la Bunda kuanzia tarehe 4 Julai 2021[1].

Marejeo hariri

  1. https://www.vaticannews.va/sw/church/news/2021-07/askofu-simon-chibuga-masndole-jimbo-katoliki-bunda-kusimikwa.html
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.