Simoni wa Mercurio
Simoni wa Mercurio (alifariki kwenye mlima huo, mkoa wa Calabria, karne ya 10 BK) anakumbukwa kama mmonaki wa Ukristo wa Mashariki aliyetumwa Afrika kukomboa wenzake waliotekwa na Waislamu kama watumwa.
Baada ya kufanikisha zoezi hilo, aliishi kama mkaapweke hadi kifo chake. [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Novemba[2]
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |